Tanzania kushirikiana na China masuala ya uhamiaji Nchi ya China imesaini mkataba wa makubaliano na Tanzania kwa ajili ya kuimarishwa uhusiano kati ya Jeshi la Uhamiaji la Tanzania na la China.
Wadau waja na mbinu kudumisha mila Kilimanjaro Wadau wa maendeleo kutoka ndani na nje ya Mkoa wa kilimanjaro, wameanza kuchukua hatua za kukabiliana na vitendo vya mmomonyoko wa maadili kwa kukutanisha viongozi wa koo za makabila mbalimbali...
Mafuriko yaleta balaa Simanjiro, 100 hawana makazi Simanjiro. Wananchi 100 kutoka katika Kijiji cha Kandoto, Kata ya Msitu wa Tembo, wilayani Simanjiro mkoani Manyara, hawana makazi baada ya nyumba 27 zenye jumla ya familia 42 kuanguka na...
Serikali yaombwa kupunguza gharama kupanda Mlima Kilimanjaro Arusha. Serikali imeombwa kupunguza gharama ya viingilio kwa Watanzania wazawa katika kupanda Mlima Kilimanjaro ili waweze kushiriki kikamilifu maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru katika kilele cha...
Wananchi watakiwa kutumia ‘birthday’ zao kupanda miti Viongozi wa dini nchini wameshauriwa kuwahamasisha wananchi kutumia siku za kumbukumbu zao za kuzaliwa (birthday ) kupanda miti katika maeneo mbalimbali yanayowazunguka, kama sehemu ya zawadi...
Madiwani Rombo wahoji makato ya bima bila matibabu Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia utaratibu wa kujigharamia malipo ya huduma za afya huku wakikatwa fedha ya bima ya afya kwa kipindi cha miezi mitatu...
‘Watuhumiwa ripoti ya CAG watajwe’ Moto uliowashwa na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), unaendelea kusambaa nchini, safari hii wananchi mbalimbali wamecharuka wakitaka majina ya wanaotajwa yawekwe...
Twende zetu kileleni yaongeza njia mbili Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika Desemba 9 mwaka huu, zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro linatarajiwa kufanyika Desemba 3, 4 na 5, mwaka huu, huku zikiongezwa njia...
Wasomi wasioona wakumbukwa Wanafunzi wasioona 20 kutoka vyuo vikuu vitano nchini, wamepewa vifaa saidizi vya kuwawezasha kufanya kazi kwa teknolojia ya kisasa, vyenye thamani ya zaidi ya Sh200 milioni, kutoka Shirika la...
Wananchi waliokosa maji kwa miaka 50 wakumbukwa Mwaipaya amesema kijiji hicho kinakabikiwa na adha ya ukosefu wa maji tangu kuanzishwa kwake na kwamba kwa sasa Serikali imeanza kutatua changamoto hizo ili kuwezesha wananchi kupata huduma bora.